News
Mramba azidi kumkandamiza Mkapa mahakamani
ALIYEKUWA Waziri wa Fedha Basil Mramba, jana aliendelea kumkandamiza aliyekuwa bosi wake na Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, akimhusisha moja kwa moja na kutolewa kwa msamaha wa kodi kwa kampuni ya Alex Stewart Government Business Assayers.
Mramba aliyaeleza hayo jana wakati akijitetea...
Diwani Afikishwa Mahakamani (NOTE: Sample story)
Hakimu mkazi wa mahakama ya mkoa wa iringa Bi Consolata Singano akiendesha kesi huku akiongozwa na msoma mashtaka wa serikari Ndg msuya, alisema kuwa Mshatakiwa anashitakiwa kwa makosa mawili, moja likiwa ni mnamo tarehe 14/5/2012 katika ofisi za manispaa ya iringa alimtishia kwa maneno Kumuua...
Items: 1 - 2 of 2